Afisa Mipango Daraja La II

Full time Electrotza Job Posts in Accounting / Finance Email Job
  • Share:

Job Description

DUTIES AND RESPONSIBILITIES
MAJUKUMU YA KAZI
i. Kuandaa taarifa ya miradi na mipango ya maendeleo, idadi ya watu, rasilimali watu, maendeleo ya jamii, mazingira endelevu, program za maliasili na uwekezaji na fedha;
ii. Kuwasaidia wananchi kuandaa mpango shirikishi wa jamii;
iii. Kubainisha vipaumbele vya ustawi wa maendeleo ya jamii, mazingira endelevu, program za maliasili na uwekezaji na fedha;
iv. Kuandaa taarifa za tathmini za athari za mazingira zinazotokana na miradi (Enviromental Impact Assessment – eia);
v. Kukusanya taarifa kwa ajili ya uandaaji wa mipango na bajeti;
vi. Kukusanya na kuweka kumbukumbu za idadi ya watu na rasilimali watu; na
vii. Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa mwenye Shahada/Stashahada ya juu ya Mipango kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali ambao wamejiimarisha (Major) katika mojawapo ya fani zifuatazo; Mipango ya Maendeleo ya Mikoa, Mipango ya Menejimenti ya Mazingira, Mipango ya Maendeleo ya Idadi ya Watu (Population and Development Planning), Mipango ya Uwekezaji na Maendeleo ya Fedha, Mipango ya Menejimenti ya Rasilimali watu, Menejimenti ya Mazingira na Maendeleo ya Miji, na Maendeleo ya Uchumi.

REMUNERATION TGS D

Nafasi za kazi katika kampuni mbalimbali 2021, nafasi za kazi viwandani 2021, nafasi za kazi 2021 dar es salaam, ajira mpya 2021, ajira portal 2021 tanapa, nafasi za kazi 2021 dodoma, nafasi za kazi mashirika binafsi 2021, ajira zetu 2021

Required skills

Other jobs you may like